sw_tn/gen/13/05.md

20 lines
486 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sasa
Neno hili linatumika kuonyesha kitakachofuatia ni taarifa ya nyuma kumsaidia msomaji kuelewa matukio yatakayofuata.
# Nchi haikuwatosha wote
Hapakuwa na ardhi ya kutosha ya malisho na maji kwa ajili ya wanyama wao.
# mali zao
Hii inajumuisha mifugo, ambayo inahitaji malisho na maji.
# hawakuweza kukaa pamoja
"hawakuweza kuishi pamoja"
# Wakanaani pamoja na Waperizi walikuwa wakiishi katika nchi ile wakati huo
Hii ni sababu nyingine ya nchi kutoweza kuwahimili wote.