sw_tn/gen/12/06.md

16 lines
378 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abramu akapitia katikati ya nchi
Ni jina la Abramu pekee linatajwa kwa sababu alikuwa kichwa cha familia. Mungu alimpatia amri ya kuchukua familia yake na kwenda kule. "Kwa hiyo Abramu na familia yake walikwenda katikati ya nchi"
# nchi
"nchi ya Kanaani"
# mwaloni wa More
Yawezekana More ilikuwa jina ya sehemu
# Yahwe aliyemtokea Abramu
"Yahwe, kwa sababu alimtokea"