# Abramu akapitia katikati ya nchi Ni jina la Abramu pekee linatajwa kwa sababu alikuwa kichwa cha familia. Mungu alimpatia amri ya kuchukua familia yake na kwenda kule. "Kwa hiyo Abramu na familia yake walikwenda katikati ya nchi" # nchi "nchi ya Kanaani" # mwaloni wa More Yawezekana More ilikuwa jina ya sehemu # Yahwe aliyemtokea Abramu "Yahwe, kwa sababu alimtokea"