sw_tn/gen/09/11.md

24 lines
614 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Mungu anaendelea kuzungumza na Nuhu na wanawe.
# ninalithibitisha agano langu pamoja nanyi
"kwa kusema hivi, ninafanya agano langu pamoja na wewe"
# mwili
Maana zaweza kuwa 1) binadamu wote au 2) wenye viumbe wote, kujumlisha binadamu na wanyama.
# Tena hapatatokea gharika ya kuangamiza nchi
"Hakutakuwa tena na gharika ambalo litaangamiza nchi". Kutakuwa na gharika, lakini hazitaangamiza dunia nzima.
# ishara
Hii ina maana ya ukumbusho wa jambo lililoahidiwa.
# agano ... kwa vizazi vyote vya baadaye
Agano hili linamhusu Nuhu na familia yake na pia vizazi vyote vitakavyofuata.