sw_tn/gen/07/08.md

28 lines
874 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Mistari ya 6-12 inarudia kwa mara ya pili na kutoa kwa utondoti jinsi gani Nuhu alivyoinbgia ndani ya safina na familia yake pamoja na wanyama katika 7:1. Hili sio tukio jipya.
# Wanyama ambao ni safi
Hawa walikuwa wanyama ambao Mungu aliruhusu watu wake kuwala na kuwatoa kama sadaka kwake.
# wanyama ambao si safi
Hawa walikuwa wanyama ambao Mungu hakuruhusu watu wake wale au kuwato kama sadaka kwake.
# wawili wawili
Wanyama waliingia kwenye safina katika makundi ya dume mmoja na jike mmoja.
# Ikawa kwamba
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama kuhusu tukio muhimu katika simulizi hii. Mwanzo wa gharika.
# baada ya zile siku saba
"baadaya siku saba" au"siku saba baadaye"
# maji ya gharika yakaja juu ya nchi
Habari inayojitokeza, "ikaanza kunyesha" inaweza kufanywa kuwa wazi. "ikaanza kunyesha na maji ya gharika yakaja juu ya nchi"