sw_tn/gen/07/06.md

12 lines
359 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla
Mistari ya 6-12 inarudia kwa mara ya pili na kutoa kwa utondoti jinsi gani Nuhu alivyoinbgia ndani ya safina na familia yake pamoja na wanyama katika 7:1. Hili sio tukio jipya.
# ilipokuja juu ya nchi
"ilipotokea" au "ikaja juu ya nchi"
# kwa sababu ya maji ya gharika
"kwa sababu ya gharika itakayokuja" au "kutoroka maji ya gharika"