# Taarifa ya jumla Mistari ya 6-12 inarudia kwa mara ya pili na kutoa kwa utondoti jinsi gani Nuhu alivyoinbgia ndani ya safina na familia yake pamoja na wanyama katika 7:1. Hili sio tukio jipya. # ilipokuja juu ya nchi "ilipotokea" au "ikaja juu ya nchi" # kwa sababu ya maji ya gharika "kwa sababu ya gharika itakayokuja" au "kutoroka maji ya gharika"