sw_tn/gen/06/18.md

24 lines
522 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitalifanya thabiti agano langu na wewe
"fanya agano kati yako na mimi"
# na wewe
pamoja na Nuhu
# Utaingia ndani ya safina
"Utaingia ndani ya safina" Baadhi ya tafsiri husema "Utaingia ndani mwa safina".
# Kwa kila kiumbe hai chenye mwili, viwili vya kila aina utavileta ndani ya safina
"Unapaswa kuleta aina mbili ya kila aina ya kiumbe ndani ya safina"
# kiumbe
mnyama ambaye Mungu aliumba
# chenye mwili
Maana yaweza kuwa 1) wanadamu wote au 2) viumbe vyote vyenye mwili, ikijumlisha wanadamu na wanyama.