# nitalifanya thabiti agano langu na wewe "fanya agano kati yako na mimi" # na wewe pamoja na Nuhu # Utaingia ndani ya safina "Utaingia ndani ya safina" Baadhi ya tafsiri husema "Utaingia ndani mwa safina". # Kwa kila kiumbe hai chenye mwili, viwili vya kila aina utavileta ndani ya safina "Unapaswa kuleta aina mbili ya kila aina ya kiumbe ndani ya safina" # kiumbe mnyama ambaye Mungu aliumba # chenye mwili Maana yaweza kuwa 1) wanadamu wote au 2) viumbe vyote vyenye mwili, ikijumlisha wanadamu na wanyama.