sw_tn/gen/06/04.md

24 lines
732 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Majitu makubwa
warefu sana, watu wakubwa
# Hii ilitokea wakati
"Hawa majitu makubwa walizaliwa kwa sababu"
# wana wa Mungu
Haipo wazi kama hii inamaanisha viumbe wa mbinguni au wanadamu. Kwa vyovyote vile, walikuwa viumbe ambao Mungu aliumba. Baadhi wanaamini maneno haya yanamaanisha malaika waliomuasi Mungu, yaani, roho chafu au mapepo. Wengine wanadhani hii inamaanisha watawala wa kisiasa wenye nguvu, na wengine wanadhani hii inamaanisha uzao wa Sethi.
# Hawa walikuwa watu hodari zamani
"Majitu makubwa walikuwa wanaume hodari walioishi zamani" au "Hawa watoto wakakua kuja kuwa wapiganaji hodari walioishi zamani"
# watu hodari
wanaume ambao ni wajasiri na washindi katika vita
# watu wenye sifa
"watu maarufu"