forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
596 B
Markdown
28 lines
596 B
Markdown
|
# akawa baba wa Methusela
|
||
|
|
||
|
"akapata mwana wake wa kiume Methusela"
|
||
|
|
||
|
# Methusela
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la mwanamume
|
||
|
|
||
|
# Henoko akaenenda na Mungu
|
||
|
|
||
|
Kuenenda na mtu ni sitiari ya kuwa na uhusiano wa karibu na yeye. "Henoko alikuwa na uhusiano wa karibu na Mungu" au "Henoko aliishi kwa umoja na Mungu"
|
||
|
|
||
|
# Akawa baba wa wana zaidi wa kiume na kike
|
||
|
|
||
|
"Akawa na wana zaidi wa kiume na kike"
|
||
|
|
||
|
# Henoko aliishi miaka 365
|
||
|
|
||
|
"Henoko aliishi jumla ya miaka 365"
|
||
|
|
||
|
# kisha alitoweka
|
||
|
|
||
|
Neno "alitoweka" linamaanisha Henoko. Hakuwa duniani tena.
|
||
|
|
||
|
# kwa kuwa Mungu alimtwaa
|
||
|
|
||
|
Hii inamaana Mungu alimtwaa Henoko awe naye.
|