forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.1 KiB
Markdown
32 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# umefanya nini?
|
||
|
|
||
|
Mungu alitumia swali la balagha kumkaripia Kaini. Hii yaweza kutafsiriwa kama msemo. "Ulichofanya ni kibaya"
|
||
|
|
||
|
# damu ya ndugu yako inaniita mimi
|
||
|
|
||
|
Damu ya Habili ni lugha kwa ajili ya kifo chake, kana kwamba ni mtu anayemwita Mungu kumuadhibu Kaini. "Damu ya ndugu yako ni kama mtu akiniita kumuadhibu yule aliyemuua"
|
||
|
|
||
|
# sasa umelaaniwa wewe kutoka ardhini
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Ninakulaani ili usiweze kuotesha chakula kutoka ardhini"
|
||
|
|
||
|
# ambayo imefungua kinywa chake kupokea damu ya ndugu yako
|
||
|
|
||
|
Mungu anazungumzia ardhi kana kwamba ni mtu awezaye kunywa damu ya Habili. "ambayo imelowa kwa damu ya ndugu yako"
|
||
|
|
||
|
# kutoka mikononi mwako
|
||
|
|
||
|
Mungu anazungumzia mkono wa Kaini kana kwamba umemwaga damu ya Habili katika "mdomo" wa ardhi. "iliyomwagwa ulipomuua" au "kutoka kwako"
|
||
|
|
||
|
# ilima
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha kufanya kila liwezekanalo ili mimea iweze kuota vizuri.
|
||
|
|
||
|
# haita kuzalia wewe nguvu yake
|
||
|
|
||
|
Ardhi inapewa utu kana kwamba ni binadamu anayepoteza nguvu. "ardhi haitakuzalia chakula cha kutosha kwa ajili yako"
|
||
|
|
||
|
# mkimbizi na mtu asiye na makao
|
||
|
|
||
|
Unaweza kuunganisha maneno haya pamoja. "mkimbizi asiye na makao"
|