sw_tn/gen/03/16.md

16 lines
416 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitaongeza uchungu wako sana
"Nitafanya maumivu yako kuongezeka sana" au "Nitafanya maumivu yako kuwa makali sana"
# wakati wa kuzaa watoto
"katika kuzaa watoto" au "utakapozaa watoto"
# Tamaa yako itakua kwa mume wako
"Utakuwa na tamaa kubwa kwa mume wako." Maana yake yaweza kuwa 1) "Utataka kuwa na mume wako sana" au 2) "Utataka kumuongoza mume wako"
# atakutawala
"atakuwa bwana wako" au "atakuongoza"