# nitaongeza uchungu wako sana "Nitafanya maumivu yako kuongezeka sana" au "Nitafanya maumivu yako kuwa makali sana" # wakati wa kuzaa watoto "katika kuzaa watoto" au "utakapozaa watoto" # Tamaa yako itakua kwa mume wako "Utakuwa na tamaa kubwa kwa mume wako." Maana yake yaweza kuwa 1) "Utataka kuwa na mume wako sana" au 2) "Utataka kumuongoza mume wako" # atakutawala "atakuwa bwana wako" au "atakuongoza"