sw_tn/gen/02/24.md

28 lines
658 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla
Kinachofuata kimeandikwa na mwandishi. Mwanamume hakusema vitu hivi.
# Kwa hiyo
"Hii ni kwa sababu"
# mwanaume atawaacha baba yake na mama yake
"mwanamume ataacha kuishi kwenye nyumba ya baba na mama yake." Hii inahusu wanamume kwa ujumla. Hailengi mwanamume fulani katika muda fulani.
# watakuwa mwili mmoja
Lugha hii inaongelea tendo la ngono kana kwamba miili inakutana pamoja na kuwa kama mwili mmoja. "miili yao miwili itakuwa mwili mmoja"
# Wote wawili walikuwa uchi
Neno "walikuwa" linamaana ya mwanamume na mwanamke ambao Mungu aliwaumba.
# uchi
"kutovaa mavazi"
# lakini hawakuona aibu
"hawakuona aibu kwa kuwa uchi"