sw_tn/gal/03/13.md

28 lines
985 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Paulo anawakumbusha waumini hawa tena kwamba kutunza sheria kusingemwokoa mtu na kwamba sheria hazikuweza kuongeza hali mpya kwenye ahadi ya imani iliyotolewa kwa Ibrahimu.
# kutoka laana ya sheria
Nomino "laana" inaweza kuelezwa kwa kitenzi "laani" kutoka katika laana ya sheria" au " Kutoka katika laana ya kutokutii sheria."
# alikuwa laana kwa ajili yetu
Nomino "laana" inaweza kuelezwa kwa kitenzi "laani" "Kwa kulaaniwa kwa ajili yetu" au "Wakati Mungu alipomlaani badala yetu."
# kutoka katika laana ya sheria wakati alipofanyika laana kwa ajili yetu......, "Amelaaniwa kila mtu ...
Laana katika muktadha huu inawakilisha hukumu. "kutoka katika hukumu ya sheria...alihukumia badala yetu ....amehukumia mtu yeyote"
# kuangikwa juu ya mti
Paulo alitarajia hadhira yake kuelewa kwamba alikuwa akielezea kuangikwa kwa Yesu juu ya msalaba.
# yaweza
"yawezekana" au "ita"
# sisi
Neno 'sisi' linamjuisha Paulo pamoja na watu watakaosoma waraka huu.