forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
483 B
Markdown
12 lines
483 B
Markdown
|
# hawafuati injili ya kweli
|
||
|
|
||
|
"Walikuwa wanaishi kama watu ambao hawajaiamini Injili" or " walikuwa wanaishi kana kwamba hawaiamini injili"
|
||
|
|
||
|
# Kwa jinsi gani mnaweza kuwalazimisha Watu wa mataifa kuishi kama Wayahudi?
|
||
|
|
||
|
Hili swali linaonesha hali ya kukemea na linaweza kutafsiriwa kama, "mnakosea kuwalazimisha wamataifa kuishi kama Wayahudi." Neno "wewe" linamrejelea Petro na liko katika umoja.
|
||
|
|
||
|
# lazimisha
|
||
|
|
||
|
Maana zinakubalika: 1) kulazimisha kwa kutumia maneno or 2) Kushawishi.
|