sw_tn/gal/02/11.md

24 lines
695 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nilipingana waziwazi ( usoni pake)
Maneno "kwa usoni pake" ni lugha ya picha likimaanisha "mahali atakapoweza kuona na kusikia." "Nilikabiliana naye" au "Niliyakosoa matendo yake"
# Kabla
Katika uhusiano na wakati/muda
# Aliacha
"Aliacha kula pamoja nao"
# Alikuwa anawaogopa watu wale
"Alikuwa na hofu na watu hawa waliotaka tohara wangemhukumu kwamba alikuwa akifanya kitu kibaya" au "aliogopa kwamba watu hawa wangemlaumu kwa kufanya jambo fulani baya." kimakosa"
# Watu waliotaka tohara
Wayahudi waliokuwa Wakristo, lakini walilazimisha kwamba wale waliomwamini Kristo wanapaswa kuishi kwa kufuata desturi za Kiyahudi.
# Kuweka mbali kutoka
"kukaa mbali kutoka" au kuepukwa"