sw_tn/gal/01/18.md

12 lines
571 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Lakini sikuona mitume wengine isipokuwa Yakobo
Vikanushi viwili vinatilia mkazo kwamba Paulo alimwona mtume Yakobo tu. AT: Mtume pekee niliyemwona ni Yakobo."
# Mbele za Mungu
Paulo anawataka Wagalatia kuelewa kuwa Paulo alikuwa amedhamiria kweli na kwamba Mungu husikia kile anachokisema na kuwa atahukumiwa kama hatausema ukweli.
# Tazama, mbele za Mungu, sidanganyi kwa kile niandikacho kwenu
Paulo anatumia msemo huu kuweka mkazo kuwa anausema ukweli. AT: " katika ujumbe huu ninaowaandikia, Siwadanganyi" au " ninasema ukweli katika mambo niliyowaandikia ."