sw_tn/gal/01/08.md

20 lines
887 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# anapaswa kutangaza
Hii inaelezea kitu ambacho hakijatokea na hakipaswi kutokea. "wangetangaza" au "walipaswa kutangaza"
# tofauti na ile
"tofauti na injili" au "tofauti na ujumbe"
# na alaaniwe
"Mungu anapaswa kumwadhibu mtu yule milele yote." na kama lugha yako ina neno au njia inayotumika kutoa laana kwa mtu, unaweza kutumia hiyo.
# Kwani sasa hivi ninatafuta uthibitisho wa watu au Mungu? Ninatafuta kuwafurahisha wanadamu?
Maswali haya hutarajia jibu ambalo ni " hapana" Hii ni sawa na kusema "sitafuti kukubaliwa na wanadamu, bali ninatafuta kukubaliwa na Mungu. sitafuti kuwafurahisha wanadamu."
# Kama ninaendelea kujaribu kuwafurahisha wanadamu, mimi sio mtumishi wa Kristo
Neno 'kama' linaonesha ukweli kuwa "mimi siwafurahishi wanadamu, mimi ni mtumishi wa Kristo." au " kama ningekuwa bado naendelea kuwafurahisha wanadamu, basi nisingekuwa mtumishi wa Mungu