forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
779 B
Markdown
20 lines
779 B
Markdown
|
# wakaanzisha nadhabahu juu ya msingi
|
||
|
|
||
|
"wakaunganisha madhabahu juu ya nguzo" au "wakaweka madhabahu juu ya nguzo ili ibaki pale"
|
||
|
|
||
|
# hofu waliokuwa nayo
|
||
|
|
||
|
huu ni msemo. AT"walikuwa na woga sana"
|
||
|
|
||
|
# kwa sababu ya watu wa nchi
|
||
|
|
||
|
Unapaswa kufanya uchunguzi kitu gani kiliwahusu watu wa nchi ambacho kiliwafanya wayahudi kuogopa. AT: "kwa sababu walifikiri watu nchi walitaka kuwavamia wao"
|
||
|
|
||
|
# walitoa sadaka ya kuteketezwa kwa yahwe asubuhi na jioni
|
||
|
|
||
|
kitu cha kwanza walichokifanya watu ni kuanza kutoa sadaka ya kujitoa. Hii ilikuwa kabla ya Hekalu kujengwa.
|
||
|
|
||
|
# siku kuu ya vibanda
|
||
|
|
||
|
Hii ilikuwa ni sherehe ambayo ilisheherekewa kwa siku nane katika kipindi cha mwezi wa saba wa kalenda ya kiebrania. ilikuwa ikihusiana na kipindi cha kutika wakati Waisraeli wakiiishi katika mahema.
|