# wakaanzisha nadhabahu juu ya msingi "wakaunganisha madhabahu juu ya nguzo" au "wakaweka madhabahu juu ya nguzo ili ibaki pale" # hofu waliokuwa nayo huu ni msemo. AT"walikuwa na woga sana" # kwa sababu ya watu wa nchi Unapaswa kufanya uchunguzi kitu gani kiliwahusu watu wa nchi ambacho kiliwafanya wayahudi kuogopa. AT: "kwa sababu walifikiri watu nchi walitaka kuwavamia wao" # walitoa sadaka ya kuteketezwa kwa yahwe asubuhi na jioni kitu cha kwanza walichokifanya watu ni kuanza kutoa sadaka ya kujitoa. Hii ilikuwa kabla ya Hekalu kujengwa. # siku kuu ya vibanda Hii ilikuwa ni sherehe ambayo ilisheherekewa kwa siku nane katika kipindi cha mwezi wa saba wa kalenda ya kiebrania. ilikuwa ikihusiana na kipindi cha kutika wakati Waisraeli wakiiishi katika mahema.