sw_tn/ezk/36/10.md

32 lines
747 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa mataifa ya Israeli.
# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.
# Miji itakaa na palipoharibiwa kujengwa
"Kisha watu wataishi katika miji na watayajenga tena magofu."
# wataongezeka na kuzaa
"watakuwa watu wengi sana na watoto wengi sana"
# nitawafanya kuishi kama mlivyokuwa
"watu kuishi juu yako milima kama walivyofanya kabla"
# mtajua yakwamba mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.
# watakumiliki
Neno "wewe" ni umoja na linarejea kwa "nchi ya Israeli."
# hutasababisha tena watoto wao kufa
Hii inaonyesha kwamba zamani watoto walikufa kwa sababu hapakuwa na chakula cha kutosha katika nchi. Kisha nchi ilizalisha chakula cha kutosha.