# Maelezo ya Jumla: Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa mataifa ya Israeli. # nyumba ya Israeli Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1. # Miji itakaa na palipoharibiwa kujengwa "Kisha watu wataishi katika miji na watayajenga tena magofu." # wataongezeka na kuzaa "watakuwa watu wengi sana na watoto wengi sana" # nitawafanya kuishi kama mlivyokuwa "watu kuishi juu yako milima kama walivyofanya kabla" # mtajua yakwamba mimi ni Yahwe Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6. # watakumiliki Neno "wewe" ni umoja na linarejea kwa "nchi ya Israeli." # hutasababisha tena watoto wao kufa Hii inaonyesha kwamba zamani watoto walikufa kwa sababu hapakuwa na chakula cha kutosha katika nchi. Kisha nchi ilizalisha chakula cha kutosha.