forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.0 KiB
Markdown
32 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa kumi
|
||
|
|
||
|
Huu ni mwezi wa kumi wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na tano ni karibu na mwanzoni mwa Mwezi wa kwanza katika kalenda za Magahribi.
|
||
|
|
||
|
# mateka wetu
|
||
|
|
||
|
Hapa "wetu" inarejea kwa Ezekieli na Waisraeli ambao walikuwa katika Babeli tangu wakati Wababeli walipomlazimisha Mfalme Yehoyakini kuondoka Yerusalemu.
|
||
|
|
||
|
# mtu mmoja akatoroka kutoka Yerusalemuna
|
||
|
|
||
|
"mtu mmoja alitoroka kutoka Yerusalemu na kuja kwangu." Wababeli waliiangamiza Yerusalemu na kuwaua watu wa Yerusalemu, lakini watu walikimbia.
|
||
|
|
||
|
# Mji ulikuwa umetekwa
|
||
|
|
||
|
"Wababeli wameuangamiza mji." Neno "mji" linairejea "Yerusalemu."
|
||
|
|
||
|
# Mkono wa Yahwe ulikuwa juu yangu
|
||
|
|
||
|
Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1, "mkono wa Yahwe ulikuja juu yangu."
|
||
|
|
||
|
# mapambazuko
|
||
|
|
||
|
"Mapambazuko" ni mda wa asubuhi sana wakati mwanga wa jua unapoanza kuchomoza.
|
||
|
|
||
|
# kinywa changu kilifunuliwa
|
||
|
|
||
|
"Yahwe alifungua kinywa chake." "nitafungua kinywa chako"
|
||
|
|
||
|
# sikuwa bubu tena
|
||
|
|
||
|
"niliweza kuzungumza sasa" Ezekieli hakuweza kuzungumza chochote isipokuwa maneno ya kinabii tangu 3:26.
|