sw_tn/ezk/25/14.md

20 lines
581 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitaweka kisasi changu juu ya Edomu kwa mkono wa watu wangu Israeli
"nitawatumia watu wa Israeli kulipa kisasi juu ya watu wa Edom"
# watafanya kwa Edomu kulingana na hasira yangu na ghadhabu yangu
"wataionyesha Edomu hasira yangu na ghadhabu"
# hasira yangu na ghadhabu yangu
Neno "ghadhabu" kimsingi linamaanisha kitu kimoja na kuongeza neno "hasira." "hasira yangu ya ghadhabu"
# watakijua kisasi changu
"watu wa Edomu watajua ya kuwa nimelipa kisasi juu yao"
# hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
"Hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo" "Hivi ndivyo Bwana asemavyo itakuwa"