# Nitaweka kisasi changu juu ya Edomu kwa mkono wa watu wangu Israeli "nitawatumia watu wa Israeli kulipa kisasi juu ya watu wa Edom" # watafanya kwa Edomu kulingana na hasira yangu na ghadhabu yangu "wataionyesha Edomu hasira yangu na ghadhabu" # hasira yangu na ghadhabu yangu Neno "ghadhabu" kimsingi linamaanisha kitu kimoja na kuongeza neno "hasira." "hasira yangu ya ghadhabu" # watakijua kisasi changu "watu wa Edomu watajua ya kuwa nimelipa kisasi juu yao" # hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo "Hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo" "Hivi ndivyo Bwana asemavyo itakuwa"