forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
551 B
Markdown
20 lines
551 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Kisha niliwapa amri ambazo hazikuwa nzuri, na maagizo ambayo hawakuweza kuishi kwayo
|
||
|
|
||
|
Maneno amri katika hili neno halirejelei sheria ya Mungu. Mungu aliwaruhusu kuishi kwa sheria ya mwanadamu na hukumu ambazo hazikuwa nzuri.
|
||
|
|
||
|
# kuwapatia
|
||
|
|
||
|
Neno "wao" linarejea kwa watoto ambao Yahwe aliwatoa Misri.
|
||
|
|
||
|
# kwa zawadi zao
|
||
|
|
||
|
"kwa zawadi ambazo walizokuwa wamenipatia."
|
||
|
|
||
|
# waweke kwenye moto
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha kutoa sadaka mtoto kwa sanamu kwa kuwachoma wakiwa hai.
|