sw_tn/ezk/17/19.md

12 lines
294 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je hiki hakikuwa kiapo changu kwamba alidharau na agano lango alilolivunja?
"kilikuwa kiapo changu kuwa mfalme wa Yerusalemu alidharau na agano langu alilolivunja"
# Nitaileta adhabu yake juu ya kichwa chake mwenyewe.
"Nitamuadhibu"
# Ataanguka kwa upanga
"atauawa na jeshi la Wababeli"