# Je hiki hakikuwa kiapo changu kwamba alidharau na agano lango alilolivunja? "kilikuwa kiapo changu kuwa mfalme wa Yerusalemu alidharau na agano langu alilolivunja" # Nitaileta adhabu yake juu ya kichwa chake mwenyewe. "Nitamuadhibu" # Ataanguka kwa upanga "atauawa na jeshi la Wababeli"