sw_tn/ezk/17/15.md

16 lines
305 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za Ujumla:
Yehova anazungumza juu ya ufalme wa Yerusalem ulivyoasi dhidi ya mfalme wa Babeli.
# Je atafanikiwa?
La hasha ! hatafanikiwa.
# Je afanyaye mambo haya atatoroka?
"Afanyaye mambo haya hatatoroka!"
# Je ataweza kutoroka Iwapo atalivunja agano?
Iwapo atalivunja agano hatatoroka.