# Taarifa za Ujumla: Yehova anazungumza juu ya ufalme wa Yerusalem ulivyoasi dhidi ya mfalme wa Babeli. # Je atafanikiwa? La hasha ! hatafanikiwa. # Je afanyaye mambo haya atatoroka? "Afanyaye mambo haya hatatoroka!" # Je ataweza kutoroka Iwapo atalivunja agano? Iwapo atalivunja agano hatatoroka.