sw_tn/ezk/13/22.md

20 lines
474 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mmeuvunja moyo wa mtu mwenye haki
Moyo wa mtu mwenye haki imetumika kurejea kwa hisia zao.
# geuka kutoka kwenye njia yake
Kuacha kufanya kitu kinachorejea kurudi katika mwelekeo tofauti.
# maono ya uongo au kuendelea kufanya utabiri
Haya maneno yote yanarejea kueleza kuhusu kile kitakachotokea baadaye.
# kutokana na mkono wako
Neno "mkono" limetumika kurejea kutawala unabii.
# mtajua kwamba mimi ndimi Yahwe
"kutambua kwamba mimi ndimi Yahwe, Mungu wa kweli"