# mmeuvunja moyo wa mtu mwenye haki Moyo wa mtu mwenye haki imetumika kurejea kwa hisia zao. # geuka kutoka kwenye njia yake Kuacha kufanya kitu kinachorejea kurudi katika mwelekeo tofauti. # maono ya uongo au kuendelea kufanya utabiri Haya maneno yote yanarejea kueleza kuhusu kile kitakachotokea baadaye. # kutokana na mkono wako Neno "mkono" limetumika kurejea kutawala unabii. # mtajua kwamba mimi ndimi Yahwe "kutambua kwamba mimi ndimi Yahwe, Mungu wa kweli"