sw_tn/exo/22/10.md

16 lines
390 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kiapo kwa Yahweh lazima wafanye wote wawili
Mtu aliye shutumiwa kuiba mnyama lazima aape kiapo. Mmiliki wa mnyama aliye potea lazima akubali kiapo kilicho apiwa.
# Lakini kama iliibwa kwake
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Kama mnyama alikatwa vipande
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Hatalipa kwa ajili ya vile vipande
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.