# kiapo kwa Yahweh lazima wafanye wote wawili Mtu aliye shutumiwa kuiba mnyama lazima aape kiapo. Mmiliki wa mnyama aliye potea lazima akubali kiapo kilicho apiwa. # Lakini kama iliibwa kwake Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Kama mnyama alikatwa vipande Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Hatalipa kwa ajili ya vile vipande Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.