sw_tn/exo/19/03.md

36 lines
735 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nyumba ya Yakobo
Neno "nyumba" hapa la wakilisha familia na uzao wa Yakobo.
# nyumba ya Yakobo, watu wa Israeli
Neno "watu wa Israeli" ina eleza nini "nyumba ya Yakobo" ina maanisha.
# Uliona
Neno "Uliona" hapa linawakilisha Waisraeli. Yahweh anamwambia Musa nini cha kuwaambia Waisraeli.
# nilivyo kubeba kwa mabawa ya tai
Mungu anaongelea kujali watu wake wakati walipo safiri kana kwamba yeye alikuwa tai na kuwabeba kwa mabawa yake.
# ukinisikiliza kwa utii
Utii yaweza andikwa kama kitenzi.
# sauti yangu
Sauti ya Munguya wakilisha anachosema.
# kushika agano langu
"fanya kile agano langu linataka mfanye"
# mali yangu ya pekee
"hazina"
# ufalme wa kikuhani
Mungu anaongelea watu wake kana kwamba ni makuhani.