sw_tn/est/08/10.md

24 lines
452 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# pete ya muuri
Tafsiri kama katika 3:1
# matarishi
"watu wanaobeba ujumbe"
# waliozaliwa kwa mfalme
ni farasi aliyestafishwa katika mashindano ambaye ametunzwa kwa ajili ya uzalishaji wa farasi wengine wa mashindano
# ruhusa
"haki"
# kukusanyika na kujilinda
Hili ni neno lililotumika likimaanisha kupigana wala sio kukimbia.
# siku ya ishirini ya mwezi wa kumi na mbili, ambao ni mwezi wa Adari
Tazama jinsi ulivyotafsiri hii katika 3:12