# pete ya muuri Tafsiri kama katika 3:1 # matarishi "watu wanaobeba ujumbe" # waliozaliwa kwa mfalme ni farasi aliyestafishwa katika mashindano ambaye ametunzwa kwa ajili ya uzalishaji wa farasi wengine wa mashindano # ruhusa "haki" # kukusanyika na kujilinda Hili ni neno lililotumika likimaanisha kupigana wala sio kukimbia. # siku ya ishirini ya mwezi wa kumi na mbili, ambao ni mwezi wa Adari Tazama jinsi ulivyotafsiri hii katika 3:12