sw_tn/est/08/05.md

16 lines
302 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# batilisha
"kufuta rasmi"
# Hammedatha
(Tazama:tafsiri majina)
# majimbo
Tafsiri kama katika 1:1.
# Ninawezaje kuona ubaya ukiwapata watu wangu? Ninawezaje kutazama uharibifu wa jamaa zangu?
"Siwezikuvumilia kuona ubaya unawaangukia Wayahudi. Siwezi kuvumilia kutazama jamaa zangu wakiuwawa."