# batilisha "kufuta rasmi" # Hammedatha (Tazama:tafsiri majina) # majimbo Tafsiri kama katika 1:1. # Ninawezaje kuona ubaya ukiwapata watu wangu? Ninawezaje kutazama uharibifu wa jamaa zangu? "Siwezikuvumilia kuona ubaya unawaangukia Wayahudi. Siwezi kuvumilia kutazama jamaa zangu wakiuwawa."