sw_tn/est/07/08.md

20 lines
499 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mvinyo ulikuwa umetengwa
"watumishi walikuwa wameleta mvinyo"
# kochi
kipande kirefu cha samani ambapo mtu hukaa au kulala.
# atamdharirisha malkia
Hii neno ni namna ya upole ya kuuliza kama atashika na kulala naye.
# Atamdharirisha malkia mbele yangu katika nyumba yangu?
"Unajaribu kumdharirisha malkia wakati akiwa hapa nami katika ikulu yangu!"
# watumishi wakamfunga Hamani uso
baadhi ya watumishi walifunga kichwa cha Hamani, kama walivyofanya watu walikuwa tayari kwa kutundikwa.