sw_tn/eph/06/14.md

24 lines
899 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# hatimaye simameni imara
maneno "simameni imara" ni lugha yenye maana ya "kuzuia vikali"
# mkanda wa kweli
kweli inashika kila kitu pamoja kwa ajili ya muumini kama mkanda unavyoshika nguo zote za askari pamoja.
# haki kifuani
Zawadi ya haki inafunika mioyo ya waumini kama kitu cha kulinda kifuaniani kwenye kifua cha Askari.
# mkiwa mmevaa utayari miguuni mwenu ili kutangaza injili ya ya Amani
Ni askari pekee anavaa ili kumpa maalifa ya kutembea, muumini anapaswa kuwa na maarifa imara ya injili ya amani ili kuwa tayari kuitangaza.
# kila hali mkichukua ngao ya Imani
Imani ambayo Mungu amempa muumini ni lazima itumike kwa ajili ya ulinzi wakati shetani anapovamia kama vile ngao ambayo askari anaitumia kujikinga kutoka katika uvamizi wa maadui.
# kuizima mishale ya mwovu Ibilisi
Uvamizi wa shetani katika kumvamia muumini ni kama mishale ya moto inayorushwa kwa askari na adui.