sw_tn/ecc/12/05.md

20 lines
543 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendeleza sitiari yake.
# wakati ambapo hamu za asili zitakaposhindwa
"wakati ambapo watu hawatamani tena kile walichokuwa wanatamani kwa asili"
# wakati ambapo mlozi utachanua maua
mti wa "mlozi" ni mti unaochanua wakati wa baridi na maua meupe.
# mtu aenda katika nyumba yake ya milele
inamaanisha kifo.
# waombolezaji watelemka mitaani
Maana zinazowezekana ni 1) waombolezaji wanaenda katika mtaa kuhudhuria mazishi, au 2) kwamba waombolezaji wanaenda mtaani kwenye nyumba ya mtu anayekaribia kufa.