# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendeleza sitiari yake. # wakati ambapo hamu za asili zitakaposhindwa "wakati ambapo watu hawatamani tena kile walichokuwa wanatamani kwa asili" # wakati ambapo mlozi utachanua maua mti wa "mlozi" ni mti unaochanua wakati wa baridi na maua meupe. # mtu aenda katika nyumba yake ya milele inamaanisha kifo. # waombolezaji watelemka mitaani Maana zinazowezekana ni 1) waombolezaji wanaenda katika mtaa kuhudhuria mazishi, au 2) kwamba waombolezaji wanaenda mtaani kwenye nyumba ya mtu anayekaribia kufa.