sw_tn/ecc/11/06.md

32 lines
968 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa mikono yako
"endelea kufanya kazi"
# jioni au asubuhi, au hii au ile
Misemo hii miwili inamaana moja na inasisitiza kuwa kazi ya mtu inaweza kufanikiwa, bila kujali ni muda gani aliifanya. "hata kama ni mbegu uliyoipanda asubuhi au mbegu uliyoipanda jioni."
# nuru ni tamu
Hapa neno "nuru" inamaanisha kuweza kuona jua hivyo kuwa hai. "kuweza kuliona jua ni tamu" au "kuwa hai ni tamu."
# kwa macho kuona jua
Msemo huu unamaana moja na usemi uliopita. "kwa mtu kuliona jua" au "kuwa hai."
# aifurahie yote
Hapa neno "yote" inamaanisha miaka ambayo mtu yuko hai.
# siku zijazo za giza
Hapa neno "giza" inamaanisha kifo. "atakuwa amekufa ziku ngapi."
# kwa kuwa zitakuwa nyingi
Hapa "zitakuwa" inamaanisha "siku za giza." "kwa kuwa atakuwa amekufa siku nyingi zaidi ya zile atakavyokuwa hai au "kwa kuwa atakufa milele."
# Kila kitu kijacho
Maana zinazowezekana ni 1) "Kila kitu kinachotokea baada ya kifo" au 2) "Kila kitu kitakachotokea baadaye."