sw_tn/ecc/10/13.md

20 lines
537 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama maneno yanavyo anza kutiririka mdomoni mwa mpumbavu
"Kama mpumbavu anavyoanza kuongea"
# mwisho mdomo wake hutiririka wazimu mbaya
"anapomaliza kuonge, anaongea wazimu mbaya"
# Mpumbavu huongeza maneno
"Mpumbavu huendelea kuongea"
# hakuna ajuaye kinachokuja
Swali hili linasisitiza kuwa hakuna ajuaye kitakachotokea baadaye. "Hakuna awazaye kumwambia kinachokuja."
# Ni nani ajuaye baada yake?
Mwandishi anauliza hili swali kusisitiza kuwa hakuna ajuaye kitakachotokea baadaye. "Hakuna ajuaye kitakachokuja baada yake."