# Kama maneno yanavyo anza kutiririka mdomoni mwa mpumbavu "Kama mpumbavu anavyoanza kuongea" # mwisho mdomo wake hutiririka wazimu mbaya "anapomaliza kuonge, anaongea wazimu mbaya" # Mpumbavu huongeza maneno "Mpumbavu huendelea kuongea" # hakuna ajuaye kinachokuja Swali hili linasisitiza kuwa hakuna ajuaye kitakachotokea baadaye. "Hakuna awazaye kumwambia kinachokuja." # Ni nani ajuaye baada yake? Mwandishi anauliza hili swali kusisitiza kuwa hakuna ajuaye kitakachotokea baadaye. "Hakuna ajuaye kitakachokuja baada yake."