sw_tn/ecc/09/09.md

12 lines
320 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ishi kwa furaha na mwanamke umpendaye
Mtu anapaswa kumpenda mke aliye naye. "Kwa sababu una mke umpendaye, ishi naye kwa furaha"
# Chochote mkono wako utakachopata kufanya
"Chochote utakachoweza kufanya"
# hakuna kazi, au ufafanuzi au ujuzi au hekima
"wafu hawafanyi kazi au kufafanua au kujua au kuwa na hekima"