# Ishi kwa furaha na mwanamke umpendaye Mtu anapaswa kumpenda mke aliye naye. "Kwa sababu una mke umpendaye, ishi naye kwa furaha" # Chochote mkono wako utakachopata kufanya "Chochote utakachoweza kufanya" # hakuna kazi, au ufafanuzi au ujuzi au hekima "wafu hawafanyi kazi au kufafanua au kujua au kuwa na hekima"